1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya asubuhi 25.07.2022

Sylvia Mwehozi
25 Julai 2022

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema vikosi vya nchi yake vitaendelea kusababisha uharibifu kwa jeshi la Urusi. Waziri wa mambo ya nje wa Urusi ameanza ziara yake katika mataifa manne ya Afrika. Raia wa Tunisia leo wanatarajiwa kupiga kura ya maoni juu ya rasimu ya katiba iliyogubikwa na utata.

https://p.dw.com/p/4EaJm