1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 24.10.2023

Josephat Charo
24 Oktoba 2023

Mateka wawili waachiwa huru na kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza. Umoja wa Mataifa una wasiwasi kuhusu hali nchini Kosovo. Na Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa waondoka eneo la Kidal nchini Mali.

https://p.dw.com/p/4XvuK