1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 24.10.2016

Yusra Buwayhid
24 Oktoba 2016

Umoja wa Ulaya umeipa Ubelgiji siku ya mwisho ya kutoa msimamo wake juu ya makubaliano ya mkataba wa biashara huria na Canada CETA. Mapambanao yazidi kupambamoto Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul. Na, mkuu wa wabunge kwa chama cha tawala cha Afrika Kusini ANC Jackson Mthembu, amtaka Zuma ajiuzulu.

https://p.dw.com/p/2RbSr