1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 21.09.2022

Josephat Charo
21 Septemba 2022

Viongozi wa dunia watoa mwito hatua za haraka zichukuliwe kukabiliana na uhaba wa chakula. Ukraine na nchi za Magharibi zaikosoa mipango ya maeneo manne ya Ukraine kuandaa kura ya maoni kutaka kujiunga na Urusi. Na Ethiopia yaikataa ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu uhalifu dhidi ya ubinadamu katika eneo la Tigray.

https://p.dw.com/p/4H8M0