1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 19.02.2020

V2 / S12S19 Februari 2020

Waendesha mashitaka Uturuki watoa waranti ya kukamatwa tena mwanaharakati Kavala aliyeondolewa mashitaka. Serikali ya Libya iliyoko mjini Tripoli yajitoa mazungumzo ya Geneva. Hatma ya watoto ulimwenguni iko hatarini kutokana na mataifa kushindwa kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi.

https://p.dw.com/p/3Xysp