1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Taarifa ya Habari ya asubuhi 15.09.2023

V2 / S12S15 Septemba 2023

Miongoni mwa tuliyokuandalia ni pamoja na waliyojadili kwenye mkutano wao, rais wa Urusi Vladimir Putin na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wametoa onyo kwa mahasimu zao. Licha ya kuwa na umbali kijografia,Urusi na Korea Kaskazini zimedhamiria kuonyesha kwamba nchi hizo pia zina washirika wanaowasikiliza.

https://p.dw.com/p/4WMTq