1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 12.11.2016

Sylvia Mwehozi
12 Novemba 2016

Maandamano ya kumpinga Donald Trump yanaendelea katika miji mbalimbali nchini Marekani. Serikali ya Ujerumani hatimaye imefikia makubaliano juu ya "mpango wake wa ulinzi wa mazingira wa mwaka 2050 na Misri kupata mkopo wa dola bilioni 12 baada ya kuidhinishwa na shirika la fedha la kimataifa IMF.

https://p.dw.com/p/2Sajz