1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 12.10.2017

Sylvia Mwehozi
12 Oktoba 2017

Rais Donald Trump aonya majadiliano kuhusu mkataba wa NAFTA yatakuwa magumu . Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy ampatia siku tano kiongozi wa Catalonia kufanya maamuzi. Chama kinachoongoza nchini Liberia kimetoa wito wa matokeo ya urais kusimamishwa kwa madai kuwa kumejitokeza dosari.

https://p.dw.com/p/2lgQA