1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 12.09.2023

12 Septemba 2023

Idadi ya vifo yaongezeka Morocco na kukaribia watu 2,900. Watu 2,000 wahofiwa kufariki Libya kufuatia Kimbunga Daniel. Marekani yatarajia kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.

https://p.dw.com/p/4WDe1