1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Ya Asubuhi: 11.07.2023

11 Julai 2023

Erdogan aondoa pingamizi kwa Sweden kujiunga na NATO. Wahamiaji 86 waokolewa Uhispania huku wengine takriban 300 ikiwa bado haijulikani waliko. Korea Kaskazini yaishtumu tena Marekani kurusha ndege za kijasusi katika anga yake.

https://p.dw.com/p/4ThWB