1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 10.10.2017

Sylvia Mwehozi
10 Oktoba 2017

Mgombea anayepewa nafasi kubwa ya kuwa waziri mkuu ajaye wa Jamhuri ya Czech ameshtakiwa kwa udanganyifu unaohusisha Dola milioni 2.Shirika la ulinzi wa mazingira la Marekani kuondoa mpango wa nishati safi uliosainiwa na Obama. Na Raia wa Liberia leo wanapiga kura kumchagua rais mpya atakayemrithi Rais Ellen Johnson Sirleaf.

https://p.dw.com/p/2lXAV