1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 10.07.2023

10 Julai 2023

Rais wa Marekani Joe Biden awasili Uingereza na atarajiwa kuhudhuria mkutano wa NATO huko Lithuania. Korea Kaskazini yakemea kitendo cha Marekani kupeleka manowari yenye makombora ya nyuklia karibu na rasi ya Korea. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya juu ya Sudan kuwa hatarini kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.

https://p.dw.com/p/4TeCm