1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 08.11.2023

Josephat Charo
8 Novemba 2023

Jeshi la Israel lasema wanajeshi wake sasa wanaendesha harakati zao katikati ya Gaza. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky auahidi Umoja wa Ulaya mageuzi zaidi kabla Ukraine kufunguliwa mlango wa mazungumzo ya uanachama. Na Saudi Arabia yasema mazungumzo ya kutafuta amani Sudan yakwama.

https://p.dw.com/p/4YXS7