1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 08.09.2023

Sylvia Mwehozi
8 Septemba 2023

Watu 64 wauawa katika mashambulizi mawili tofauti Kaskazini mwa Mali ++++ Katibu Mkuu wa NATO asema hakuna ishara kwamba Urusi imefanya shambulio la makusudi dhidi ya mwanachama wake Romania. +++Viongozi wa G20 waelekea India kwa mkutano wa kilele.

https://p.dw.com/p/4W5kB