1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 08.02.2021

V2 / S12S8 Februari 2021

Rais Biden asema hataondosha vikwazo dhidi ya Iran hadi pale taifa hilo litakapoheshimu mkataba wa nyuklia . Afrika Kusini kusitisha zoezi la utoaji chanjo ya AstraZeneca. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yasajili kisa kipya cha ugonjwa wa Ebola.

https://p.dw.com/p/3p2FF