1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 07.12.2021

V2 / S12S7 Desemba 2021

Marekani imetangaza mgomo wa kidiplomasia dhidi ya michezo ya Olimpiki mjini Beijing China. Wajumbe wa chama cha Kijani cha Ujerumani waunga mkono serikali ya muungano. Na Serikali ya Ethiopia yadai kuidhibiti tena miji miwili ya kimkakati iliyokuwa ikishikiliwa na waasi.

https://p.dw.com/p/43ulf