1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Ya Asubuhi: 07.08.2023

7 Agosti 2023

Watu 30 wafariki katika ajali ya treni kusini mwa Pakistan. Niger yafunga anga yake kufuatia kitisho cha uingiliaji kijeshi cha ECOWAS. Mazungumzo ya amani kuhusu vita vya Ukraine yafanyika Saudi Arabia.

https://p.dw.com/p/4Uq8t