1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 07.02.2022

Josephat Charo
7 Februari 2022

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atarajiwa kukutana na rais wa Marekani Joe Biden mjini Washington. Ujerumani yatafakari kutuma wanajeshi zaidi Lithuania. Na Simba wa Teranga, Senegal, wapongezwa kwa kushinda kombe la mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza katika historia yao.

https://p.dw.com/p/46cCD