1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 06.09.2023

Josephat Charo
6 Septemba 2023

Marekani yaonya Korea Kaskazini italipa gharama iwapo itaipatia silaha Urusi kwa vita vyake nchini Ukraine. Uingereza yapanga kulipiga marufuku kundi la wapiganaji mamluki la Wagner. Na Ufaransa yazungumza na watawala wa kijeshi nchini Niger kuwaondoa baadhi ya wanajeshi wake.

https://p.dw.com/p/4VzdQ