1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi: 06.06.2023

6 Juni 2023

Takriban watu 42 wafariki katika mafuriko na maporomoko ya ardhi huko Haiti. Urusi yadai kuzima mashambulizi mengine ya Ukraine. DRC yasema jeshi la Sudan limewaua raia wake 10 mjini Khartoum.

https://p.dw.com/p/4SEPH