1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 05.10.2023

5 Oktoba 2023

Rais wa Marekani amesema mgogoro wa kisiasa nchini mwake unatishia msaada kwa Ukraine. Kansela wa Ujerumani azungumza na rais wa Azerbaijan kujadili mzozo wa Nagorno-Karabakh. Waasi nchini Mali wadai kudhibiti kambi ya kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/4X7mW