1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 04.09.2023

4 Septemba 2023

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kukutana na rais wa Urusi Vladimir Putin kujadili mkataba wa kusafirisha nafaka kupitia Bahari Nyeusi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemteua waziri mpya wa ulinzi. Na Polisi nchini Uganda wafanikiwa kuzima shambulizi la bomu katika kanisa mjini Kampala.

https://p.dw.com/p/4VuL1