1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 04.09.2019

Sylvia Mwehozi
4 Septemba 2019

Waziri mkuu Boris Johnson apata pigo katika kura ya kuzuia Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano. Nigeria yamuita balozi wa Afrika Kusini kuhusiana na raia wake kushambuliwa. Na Marekani imeliwekea vikwazo shirika la anga la Iran .

https://p.dw.com/p/3OyDg