1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 03.12.2017

V2 / S12S3 Desemba 2017

Rais wa Marekani Donald Trump amepuuza taarifa zinazoaminiwa kuutikisa utawala wake baada ya aliyekuwa mshauri wake wa usalama wa ndani Flynn kukiri aliwadangaya maafisa wa shirika la upelelezi FBI. Rais wa zamani wa Yemen Ali Saleh asema yuko tayari kuufungua ukurasa mpya wa ushirikiano na muungano unaoongozwa na Saudi Arabia. Papa Francis atetea kunyamaza kwake kuhusu jina Rohingya

https://p.dw.com/p/2ofpv