1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 03.08.2021

Josephat Charo
3 Agosti 2021

Marekani na Uingereza zalituhumu kundi la Taliban kwa uhalifu wa kivita. Umoja wa Mataifa waikosoa Myanmar kuhusu demokrasia. Mahakama ya juu kabisa ya Israel yaahirisha uamuzi wa kufukuzwa Wapalestina kutoka Jerusalem Mashariki.

https://p.dw.com/p/3yS9U