1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 02.11.2016

Sylvia Mwehozi
2 Novemba 2016

Tuliyo nayo asubuhi hii: Mgombea wa urais wa Marekani Donald Trump anaongoza kwa asilimia ndogo ya pointi katika utafiti mpya wa maoni . Vikosi vya Iraq vimedai kusogea karibu zaidi katika kuudhibiti mji wa Mosul unaoshikiliwa na wanajihadi na rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye amemfuta kazi waziri wake mkuu pamoja na mawaziri wengine wawili.

https://p.dw.com/p/2S0cD