1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 01.07.2017

Sylvia Mwehozi
1 Julai 2017

Tuliyo nayo: Daktari mmoja amewajeruhi wenzake ndani ya hospitali moja jijini New York kabla ya kujiua. Rais wa China Xi Jinping amemuapisha kiongozi mpya wa Hong Kong Carrie Lam. Na Ujerumani yadhamiria kuyatoza faini kubwa makampuni ya mitandao ya kijamii.

https://p.dw.com/p/2fkDs