1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 01.05.2023

Josephat Charo
1 Mei 2023

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amtuma mjumbe maalumu wa umoja huo kwenda Sudan huku machafuko yakiingia wiki ya tatu.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky azungumza na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu msaada mpya wa silaha. Na mazungumzo kuhusu mgogoro wa Afghanistan kufanyika leo Doha, Qatar.

https://p.dw.com/p/4Qjs0
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)