1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari saa 12:00 Asubuhi tarehe 15.06.2020

V2 / S12S15 Juni 2020

VIDOKEZO: Maandamano mapya yazuka Marekani baada ya polisi kumuua Mmarekani mwengine mweusi katika mji wa Atlanta Georgia.//Ufaransa na Ujerumani zalegeza vizuizi katika hatua ya kuanza kufufua chumi zao baada ya athari za janga la corona.//Ripoti yaeleza kuwa nchi zilizo na uwezo mkubwa wa silaha za kinyuklia zazidi kuziimarisha kuwa katika hali ya kisasa.

https://p.dw.com/p/3dlWc