1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
11 Oktoba 2022

https://p.dw.com/p/4I19Z

-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lakutana kujadili azimio la kupinga unyakuzi wa Urusi wa majimbo ya Ukraine.

-Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu anaizuru Urusi leo na atafanya mazungumzo na rais Vladimir Putin

-Vikosi vya waasi wa Tigray vimesema kuwa Eritrea imepanua mashambulizi dhidi ya mkoa wao