1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
27 Agosti 2022

https://p.dw.com/p/4G7mn

Chama cha upinzani nchini Angola, UNITA kimekataa matokeo yaliyokipa ushindi chama tawala, MPLA.

Viongozi wa jimbo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray waishutumu serikali kufanya shambulizi la anga kwenye shule ya chekechea.

Rais mteule wa Kenya, William Ruto yaitaka mahakama kuu kulitupa nje pingamizi la mshindani wake, Raila Odinga