1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
21 Julai 2022

https://p.dw.com/p/4ER18

-Rais Mteule wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe aapa kupambana na wafanyafujo wanaolazimisha mabadiliko kinyume na katiba.

-Waziri Mkuu wa Irak ailaani Uturuki kwa shambulizi lililouwa watu tisa katika eneo la Wakurdi kaskazini mwa Irak

Mali yampa msemaji wa ujumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa saa 72 kuwa amefungasha virago na kuondoka nchini humo