1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
6 Aprili 2022

https://p.dw.com/p/49W6q

-Rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskiy ahutubia Baraza la Usalama, ataka Urusi iwajibishwe kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine.
-Raia wa Nigeria uhukumiwa kifungo cha miaka 24 jela kwa kuukufuru Uislamu.
-Sheria ya hali ya hatari yatangazwa nchini Peru, baada ya maandamano yenye ghasia ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa.