1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
16 Septemba 2020

https://p.dw.com/p/3iWfG

-Israel yasaini makubaliano na Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu, kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia.
-Ujerumani yakubali kuwapokea wakimbiti 1550 kutoka kambi ya nchini Ugiriki iliyoteketezwa na moto.
-Viongozi wa Afrika Magharibi, waelezea matumaini kuwa katika muda wa siku chache, Mali itakuwa na serikali inayoongozwa na raia.