1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
26 Mei 2020

https://p.dw.com/p/3cl4G

Shirika la afya ulimwenguni lasimamisha majaribio ya dawa ya Hydroxychloroquine kama tiba ya COVID-19.

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi chakataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa rais wa wiki iliyopita.

Ujerumani kulegeza masharti ya vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.