1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
4 Februari 2020

https://p.dw.com/p/3XERn

-China imekiri kuwepo mapungufu katika kushughulikia homa itokanayo na virusi vya corona, huku idadi ya waliouawa na homa hiyo ikifika watu 425.
-Mahakama ya Katiba ya Malawi imefuta matokeo ya uchaguzi wa Mei mwaka jana, uliompa ushindi rais Peter Mutharika.
-Chama cha Democratic nchini Marekani chaanza chaguzi za mchujo jimboni Iowa.