1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
3 Februari 2020

https://p.dw.com/p/3XBMq

-Wawili kati ya watu 124 waliosafirishwa na ndege ya Ujerumani kutoka China, wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
-Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell asafiri kwenda Tehran kwa mazungumzo kuhusu makubaliano juu ya mpango wa nyuklia wa Iran.
-Rwanda na Uganda zakubaliana kubadilishana wafungwa katika juhudi za kupunguza uhasama.