1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
16 Oktoba 2019

https://p.dw.com/p/3RMNt

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametupilia mbali miito ya kutaka kusitisha operesheni ya kijeshi kaskazini mwa Syria, hadi pale malengo ya nchi yake yatakapotimizwa.

Maafisa wa Umoja wa Ulaya wameelezea matumaini juu ya uwezekano wa kupata makubaliano na Uingereza kuhusu uhusiano baina yao baada ya Brexit.

Zoezi la upigaji kura limekamilika kwa amani nchini Msumbiji, huku kukiwa na tuhuma za kufanyika mizengwe.