1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
13 Agosti 2019

https://p.dw.com/p/3No0B

-Uwanja wa ndege wa Hong Kong umefungua tena shughuli zake, baada ya kufungwa hapo jana kutokana na maandamano.
-Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema dawa mbili za majaribio dhidi ya Ebola zinanusuru maisha ya wagonjwa.
-Viongozi wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu wamefanya mazungumzo kujaribu kuepusha mpasuko katika ushirika wao dhidi ya Wahouthi.