1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
19 Juni 2019

https://p.dw.com/p/3KgFy

-Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema kuna ushahidi wenye uzito kwamba Iran ilihusika katika mashambulizi dhidi ya meli za mafuta wiki iliyopita.
-Rais Donald Trump wa Marekani amezindua kampeni yake ya kugombea muhula wa pili katika uchaguzi wa 2020
-Uganda yapata kibali cha kuanza kutumia dawa za majaribio kutibu ugonjwa wa Ebola