1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
18 Juni 2019

https://p.dw.com/p/3KcBg

-Rais wa zamani wa Misri Mohammed Morsi amefariki dunia baada ya kuanguka na kuzirai mahakamani mjini Cairo.
-Marekani imetoa picha ambazo inasema ni ushahidi mwingine kuwa Iran ilihusika katika mashambulizi dhidi ya meli za mafuta wiki iliyopita.
-Ripoti mpya kuhusu makadirio ya idadi ya watu inaonyesha kuwa ifikapo mwaka 2050, wakazi wa dunia watafika bilioni 9.7.