1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
14 Novemba 2018

https://p.dw.com/p/38Cin

Hamas imetangaza kusitisha mapigano dhidi ya Israel, ikiwa nchi hiyo itasitisha pia mashambulizi.
Uingereza imetangaza kufikiwa kwa muafaka juu ya masharti ya kutengana na Umoja wa Ulaya.
WHO yasema kitisho cha Ebola Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kitaendelea hadi katikati mwa mwaka ujao.