1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
12 Septemba 2018

https://p.dw.com/p/34iLz

-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameionya Syria dhidi ya mashambulizi yanayoweza kuugeuza mkoa wa Idlib dimbwi la damu.

-Ahueni katika upembe wa Afrika baada ya Ethiopia na Eritrea kufunguliana mpaka na kuwarejesha wanajeshi kambini.
-Luiz Inacio Lula da Silva ajiengua katika kinyang'anyiro cha urais nchini Brazil.