1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

V2 / S12S10 Septemba 2018

https://p.dw.com/p/34arg

-Chama cha mrengo mkali wa kulia kimepata kura nyingi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili nchini Sweden.
-Korea Kaskazini yafanya maanyesho makubwa ya kijeshi, lakini mara hii bila zana za nyuklia wala makombora.
-Ajali ya ndege yauwa watu 20 Sudan Kusini, watatu wanusurika, akiwemo mtoto.