20 Mei 2018
Matangazo
Marekani na China zimekubaliana kuacha vita vya kibiashara na vitisho vya kuongezeana ushuru, Wanadiplomasia wa Ulaya, Urusi na China watarajiwa kukutana kusaka muafaka juu ya kuyanusuru makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, Eintracht Frankfurt yaigaragaza Bayern Munich katika fainali ya kombe la shirikisho la soka Ujerumani.