1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
19 Mei 2018

https://p.dw.com/p/2xylH

Rais wa Cuba ameahidi uchunguzi kubainisha sababu ya ajali iliyouwa watu zaidi 100 nchini humo jana. Mshambuliaji mwenye bunduki ameuwa watu 10 kwenye shule moja mjini Santa Fe, Marekani. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel afanya Mazungumzo na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Uingereza yajiandaa kwa harusi ya kifalme kati ya Prince Harry na Meghan Markle.