1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

V2 / S12S6 Machi 2018

https://p.dw.com/p/2tkO0

Rais wa Shirikisho la Ujerumani amempendekeza rasmi Kansela Merkel kuongoza muhula mwingine, Mashambulizi makali katika Ghouta Mashariki nchini Syria yalazimisha msafara wa msaada kurejea nyuma, Nchi za Kusini mwa Afrika zasitisha uagizaji wa nyama ya kusindika kutoka Afrika Kusini kufuatia mripuko wa ugonjwa wa Listeria.