1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
5 Machi 2018

https://p.dw.com/p/2th8b

Muungano wa vyama unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi watabiriwa kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini humo, Rais Bashar al-Assad wa Syria yaazimia kuendelea mashambulizi katika eneo lililozingirwa la Ghouta Mashariki, na Burkina Faso yasema imemkamata mshukiwa mkuu wa shambulizi la Ijumaa dhidi ya makao makuu ya jeshi lake.