1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
8 Machi 2018

https://p.dw.com/p/2tBh0

Ujerumani yarefusha muda na kuongeza uwezo wa vikosi vyake katika operesheni za kimataifa. Vikosi vya Syria vinaripotiwa kudhibiti nusu ya Ghouta Mashariki na kuyagawa katika sehemu mbili maeneo ambayo bado yanashikiliwa na waasi. Polisi ya Uingereza imesema gesi iliyotumiwa katika jaribio la kumuuwa jasusi wa zamani wa Urusi na binti yake imetambuliwa. Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo katika vita vyake vya ushuru kutokana na shinikizo la chama chake.