1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

V2 / S12S7 Machi 2017

https://p.dw.com/p/2YkDA

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ahimiza kuwepo utulivu baada ya kauli ya rais wa Uturuki kwamba Ujerumani inayo mienendo ya kinazi, Rais Donald Trump asaini Amri mpya ya Rais ya marufuku ya safari, ambayo mara hii haiiihusishi Iraq, na watu 8 wauawa katika mkanyagano kwenye ugavi wa chakula cha msaada katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka.